6/recent/ticker-posts

Usishangae ya Musa! Boti Mnazimmoja

Naam hii ni boti kwenye viwanja vya michezo Mnazimmoja wakati wa neema za mvua za masika. Nini maoni yako mdau? Picha na mdau wa Facebook

Post a Comment

3 Comments

  1. Hahahaha , hii ni jokes kwa wasimamizi wa viwanja hivi na government kwaujumla!

    ReplyDelete
  2. Aibu hasa hapo bahari ipo kizingo tu hapo wanashindwa kuweka mabomba yakamwaga maji pwani, baraza la mji likowapi?, serekali haioni jambo hilo? au ndio wanasubiri nchi za ulaya zitoe misaada ya hata vijambo kama hivyo? wao kazi yao kubana wafanya biashara halafu kodi haijulikani wapi inakwenda, nchi ishawashinda lakini wanaing'ang'ania tu hii ndio faida yake

    ReplyDelete
  3. sio tatizo la wasimamizi wa mji kama mdau hapo juu anavyo ona.Lakini ni kubanwa kwa matumizi ambapo hali ya uchumi ni mbaya kama alivyosema mkuu wa nchi alipoitetea hoja ya kuwaongezea posho wawakilishi.

    ReplyDelete