Afisa Sektion ya Stadi za maisha, Khamis Haji Hamad, kutoka Wizara ya Elimu Pemba, akitowa maelezo kwa Walimu wa Ushauri Nasaha wa Skuli za Pemba huko katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Madungu Pemba.
Baadhi ya Walimu wa Ushauri Nasaha wa Skuli 53 za Pemba, wakipatiwa mafunzo ya Ushauri Nasaha, huko katika Ukumbi wa Skuli yaS ekondari Madungu Pemba.
Mratibu wa Ukimwi kutoka Wizara ya Elimu Zanzibar, Hassina Salum Bukheti, akitowa Mada ya Ukimwi kwa Walimu wa Ushauri Nasaha wa Skuli 53 za Kiwani Pemba, huko katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Madungu-Pemba.
Picha na Bakar Mussa-Pemba



0 Comments