Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum Mhe. Andrew Chenge (mjumbe) akiongoza kikao cha kamati hiyo jana ambapo kamati hiyo inamalizia uandishi wa Katiba pendekeze inayotarajiwa kuwasilishwa Bungeni Jumatatu wiki hii. Kamati hiyo inachambua maoni ya taarifa za Kamati pamoja na michango ya Wajumbe wakati wa Mjadala na kuyaweka maoni hayo pamoja na kisha kuandaa katiba inayopendekezwa.
TAB Kinondoni Yapokea Msaada wa Fimbo kutoka Meridianbet
-
MERIDIANBET Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kurudisha kwa jamii kwa
kutoa msaada wa fimbo maalum za kutembelea (walking canes) kwa watu
wasioona jiji...
7 hours ago


0 Comments