MAFUNDI wakiwa katika hatua za awali za
ujenzi wa 'Josho' la Ng'ombe, huko Mjimbini Wilaya ya Mkoani Pemba,
unaosimamiwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kama wanavyoonekana pichani. (Picha
na Asha Salim, Pemba).
Waziri wa Kilimo, Amefanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Mipango na Uwekezaji
-
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Godfrey Chongolo (Mb) amefanya mazungumzo na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander
Mk...
3 hours ago
0 Comments