MENEJA wa hoteli
ya ‘Manta resort’ ya Makangale wilaya ya Micheweni Pemba, Mathewa Saus,
akiwafahamisha wanafunzi na waalimu wa skuli za sekondari za mkoa wa kusini
Pemba, namna ya ujenzi wa chumba cha chini ya maji ya bahari kinavyofanya kazi,
kwenye ziara maalumu ilioandaliwa na kamisheni ya utalii Pemba(picha na Haji Nassor, Pemba)
UELEWA WA PAMOJA KWA USTAWI WA PAMOJA: WANAHABARI WANOLEWA KUHUSU DIRA 2050
-
Wanahabari wametakiwa kuwa daraja la kuifikisha kwa umma mikakati na
malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuhakikisha kunakuwepo
uelewa wa pamoja...
1 hour ago
0 Comments