Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg, Hamad Mussa Yussuf, kulia Akimkabidhi Kadi za Waliokuwa Wanachama wa CHADEMA, na kujiunga na Chama Kipya cha Siasa cha ACT, kilichopata Usajili wake hivi karibuni na kupata Wanachama wengi kukiunga mkono chama hicho, Akimkabidhi Katibu Mkuu wa ACT Ndg. Sansin Mugambe, Wameamua kikihama Chama hicho kwa kupoteza muelekeo kwa kujiunga katika Umoja wa vYMA Vya Siasa .UKAWA na kupoteza mwelekeo kisiasa hapa Zanzibar na kumamua kujiunga na Chama hicho kipya.
NMB yaja na maboresho ya huduma kwa makandarasi wa Zanzibar
-
Na Mwandishi Wetu
Zanzibar – Katika kuendelea kuimarisha sekta ya ujenzi visiwani Zanzibar,
Benki ya NMB imezindua maboresho ya masuluhisho mbalimbali ma...
6 minutes ago
1 Comments
Ah. Njaa tu!!
ReplyDelete