Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg, Hamad Mussa Yussuf, kulia Akimkabidhi Kadi za Waliokuwa Wanachama wa CHADEMA, na kujiunga na Chama Kipya cha Siasa cha ACT, kilichopata Usajili wake hivi karibuni na kupata Wanachama wengi kukiunga mkono chama hicho, Akimkabidhi Katibu Mkuu wa ACT Ndg. Sansin Mugambe, Wameamua kikihama Chama hicho kwa kupoteza muelekeo kwa kujiunga katika Umoja wa vYMA Vya Siasa .UKAWA na kupoteza mwelekeo kisiasa hapa Zanzibar na kumamua kujiunga na Chama hicho kipya.
WAHIFADHI TFS SAO HILL WAJENGEWA UELEWA WA AFYA
-
Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Miti Sao Hill, PCO Tebby Yoramu,akiwa anapima
afya akiwaongoza watumishi wengine wa Zao Hill kupima afya zao na amesema
mafunzo...
1 hour ago
1 Comments
Ah. Njaa tu!!
ReplyDelete