MCHEZO wa karata ambao umekuwa ukichezwa kama
sehemu ya starehe, wakati umefika kwa Zanzibar kuweka kanuni na kuwekea kombe
maalumu ili wachezaji waone faida yake, kama hawa wa maskani ya wazee wa CCM
Mkoani wakisafiri kwenye mchezo huo kwenye maskani yao (picha na Haji Nassor, Pemba)
DKT. MAULID ASISITIZA ITIFAKI NA TABIA NJEMA KWA VIONGOZI WA ELIMU
-
Mkutano Mkuu wa 12 wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri
Tanzania Bara (REDEOA) umeendelea kufanyika jijini Arusha kwa siku saba
tangu ulipofun...
9 hours ago
0 Comments