MJUMBE wa kamati ya maendeleo ya shehia ya Chumbageni wilaya ya mkoani Pemba Amini Haji Makame, akiulizia suali kwa mkuu wa wilaya hiyo Hemed Suleiman Adballa, kuhusu sheria za kumbana mwekezaji aliemo shehiani mwao, ili kutoa mchango wake kwa jamii, kwenye mkutano wa mkuu huyo wa wilaya wakati akijitambulisha kwa wananchi (picha na Haji Nassor, Pemba)
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
27 minutes ago
0 Comments