6/recent/ticker-posts

Pemba yaangalia uwezekano wa kutumia nishati mbadala


MKURUGENZI wa nishati na Madini Zanzibar Abdulla Mohamed Abdulla akizungumza na ujumbe wa kampuni ya AGMIN kutoka Italia, ambapo kampuni hiyo ndio inayotarajiwa kujenga minara miwili kisiwani Pemba kwa ajili ya nishati mbadala ambayo huwenda ikatumia nishati ya jua au nguvu za upepo baada ya kufanyiwa utafiti yakinifu hapo baadae, kikao hicho kilifanyika wizara ya Ardhi Makaazi, Maji na Nishati Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

Post a Comment

1 Comments

  1. Ndugu mwandishi naona hapa kama hukutenda vizuri, hapa kwenye picha kuna viongozi 2 Mkurugenzi idara Nishati na madini pamoja name Afisa Mdhamini Wa Wizara ya ardhi Pemba ambaye ni Bwana Hemed Salim ilipaswa angalau nae umtaje kwani ki-procol bwana Hemed kwa hapo ni mkubwa. Hemed Salim ni miongoni mwa wachapa kazi hodari mno kwa hapa kwetu. Aliondoshwa Ukurugenzi Mkuu Mamlaka ya maji Zanzibar kwa upuuzi Wa kisiasa tu. Kina Shamhuna na wakereketwa wenzake walimkataa kuendelea pale ZAWa name kupelekwa Pemba. ZAWA wamepoteza kiongozi, engineer Wa kweli. Sasa kuna Mustafa Garu pale ZAWA kazi ubabe na uvivu tu hata site hapiti kazi kukaa ofisini tuu.

    ReplyDelete