KAMANDA wa Polisi mkoa wa kusini Pemba Juma
Ali Yussuf akifungua mafunzo wa siku mbili kwa watendaji wa jeshi hilo wa mikoa
miwili ya Pemba yaliofanyika kituo cha huduma za sheria mjini Chakechake, kulia
ni Mratibu wa kituo hicho Fatma Hemed Khamis na kushoto ni afisa mipango wa
kituo hicho Safia Saleh Sultan (picha na
Haji Nassor, Pemba)
MAGARO AWATAKA MADIWANI KUSIMAMIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU.
-
Na Nasra Ismail- Geita
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Geita Karia Magaro
amewataka madiwani kusimamia Sheria kanuni na taratibu za uende...
1 hour ago

0 Comments