Ujumbe wa wadi za Makunduchi katika kuitangaza Zanzibar kiutalii uliwazawadia watu wa Sundsvall mlango ambao ulipokelewa na mama Spika ndani ya baraza la manispaa ya Sundsvall (Sundsvall Municipal Assembly). Mlango huo ulitolewa kama zawadi ya watu wa Makunduchi kwa watu wa Sundsvall. Kwenye picha ni ndugu Mohamed Muombwa, ndugu Hafifth bin Ameir na diwani Zawadi. Aliyeshika mlango ni Spika,
UKAGUZI WA MABASI YA ABIRIA WAFANYIKA KUDHIBITI AJALI
-
Na Pamela Mollel Arusha
Jeshi la Polisi Nchini kupitia kikosi cha Usalama barabarani limefanya
ukaguzi maalumu wa mabasi ya abiria kwa ajili ya kudhibit...
4 hours ago

0 Comments