6/recent/ticker-posts

Dk Shein afungua kiwanja cha ZSSF Uhuru Kariakoo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF Abdulwakil Haji Hafidh alipowasili kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo Mjini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa kiwanja hicho leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia  kufungua rasmi kiwanja cha ZSSF -Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo wakati akipanda mti aina ya Muembe katika ufunguzi wa kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango Uwekezaji na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal wakati alipokua akiangalia michoro ya kiwanja cha ZSSF- Uhuru cha kufurahishia Watoto kiliopo Kariakoo Mjini Unguja baada ya kukifungua rasmi leo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa pili kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,[Picha na Ikulu.]


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akifuatana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi (kulia) na Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee (kushoto) wakati alipotembelea kuangalia pembea katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]  
 Meneja Mipango Uwekezaji na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal (kushoto) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) wakati alipotembelea kuangalia pembea katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi na (wapili kushoto) Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee,[Picha na Ikulu.]  
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango Uwekezaji na Utafiti ZSSF Khalifa Muumin Hilal (katikati) wakati alipotembelea pembea mbali mbali zilizomo katika kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto baada ya kukifungua leo Kariakoo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wengine ni  Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee (kushoto) na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi (wa tatu kushoto), [Picha na Ikulu.]   
 Baadhi ya Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF -Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja wakimsikiliza  Rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi huo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Msoma Utenzi Amina Mohamed Waziri  wakati wa ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake baada ya ufunguzi wa Kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia Watoto Kariakoo leo Mjini Unguja ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Rashid Mohamed,[Picha na Ikulu.]
 

Post a Comment

1 Comments

  1. mapinduzi yalileta mauaji ya watu wasio na hatia ndugu mwandishi , najua haya maoni hutochapisha ili nakutaarifu wewe zaidi , hikiwezi kuwa kitu kilichosababisha maafa na dhuluma kuwa kitukufu , utukufu na mtukufu ni mola pekee asiye na kasoro , usipende kutumia neno hili unamkufuru mola wako kama unaamini kuna siku utaonana nae , naamini nimefikisha ujumbe kwako na kwa yoyote mwenye kutumia neno hili

    ReplyDelete