IPO haja kwa Tasisi husika kuzifanyia ukarabati
bandari mbali mbali, pale zinapoonekana kuanza kuharibika ili kuweza kudumu kwa
muda mrefu, pichani bandari ya Tundauwa shehia ya Kilindi ikiwa imeharibika
vibaya kama inavyoonekana pichani.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
RAS ARUSHA AWEKA MKAZO KUIMARISHA UTALII NA KUONDOA URASIMU KWA WAWEKEZAJI
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dk. Toba Alnason Nguvila, ameweka mkazo
katika kuimarisha sekta ya utalii mkoani humo kwa kuwat...
20 minutes ago
0 Comments