6/recent/ticker-posts

Mabadiliko ya muda ya mkutano wa kesho kuhusu jitihada za kupambana na misimamo mikali duniani

MWALIKO WA PRESS CONFERENCE

Katibu wa Usalama wa Raia, Demokrasia na Haki za Binadamu wa Marekani Bi Sarah Sewall atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari.

MADA…JITIHADA ZA KUPAMBANA NA MISIMAMO MIKALI DUNIANI

SIKU YA JUMANNE MACH 17… SAA 9:45 JIONI

MAHALA..UKUMBI WA KITUO CHA KUSAIDIA VIJANA MWEMBE MADEMA NYUMA YA KITUO CHA POLISI CHA MADEMA

Waandishi mnaombwa kuja na kuzingatia na Muda.

IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR

Post a Comment

0 Comments