Sehemu ya mbele ya Msikiti huo
KISIWA CHA SAANANE CHAADHIMISHA 'BIRTHDAY' MIAKA 10 YA SIMBA
-
Simba wa Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha
Saanane akijiandaa kula keki maalum
Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya...
2 hours ago
2 Comments
Jambo zuri kuujenga upya msikiti , lkn kuna design maalum za misikiti , huu unavyoonekana sasa ni kama nyumba tu ya ukaazi na sio kimsikiti . Lazma makandarasi watizamwe vizuri hizo design zao
ReplyDeleteMdau pengine pint yako ina maana sasa lakini naomba ungetusaidai kidogo, labda ulipaswa uwe na kitu gani zaidi au kitu kipi kingekaa wapi na mambo kama hayo ili hao Contractors wakaelewa zaidi hizo basic za misikiti, hata na mimi nimeona kama uivyoona wewe lakini nikasema labda pengine kutokana na ufinyu wa eneo, eneo tayari limo ndani ya mtaa uliosheheni majumba pande zote.
ReplyDelete