Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Kenya Mhe,John Michael Haule baada ya
mazungumzo yao alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]


0 Comments