NDEGE ya kampuni ya Al-salaam, ikiwa kwenye majani
nje kidogo ya njia ya kurukia, baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa
ndege wa Pemba, ikiwa na abiria 12, baada ya kukumbwa na hitilafu ya mashine
ikiwa imesharuka juu mita 500, (Picha na
Haji Nassor, Pemba
Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta
wa Miamala
-
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni
inayoendelea ya Masta wa Miamala.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana ...
14 hours ago
2 Comments
Na Hii style ya hivi videge vidogo kuwa na rubani mmoja vipi jamani? Au ndio sheria za usafiri Wa angani zinavyosema hebu tusaidiemi we ye kujua.
ReplyDeleteSheria ya anga inasemea ngede yeyote ya abiria lazima iwe na marubani wawili! Na vile vile ndege yenye engine moja hairuhusiwi kubeba abiria!!! But ndugu yangu we are in Zanzibar hata sheha anasheria zake!!! Kiufupi Sheria zipo miko nono mwa watu!
ReplyDelete