LICHA ya serikali na asasi za kiraia kupambana na ajira za watoto ikiwa ni pamoja na uparaji samaki, lakini bado baadhi ya maeneo yamekuwa yakifurutu ada, ambapo soko la samaki la Tumbe Pemba ni sehemu moja ambayo ajira za watoto hazijakomeshwa (picha na Haji Nassor, Pemba)
CHANDE AWAFUNDA WAHITIMU CHUO CHA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI MWEKA
-
Na Saidi Lufune, Kilimanjaro
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb),
amewataka wahitimu wa chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mw...
1 minute ago
0 Comments