6/recent/ticker-posts

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CUF ajiunga na ACT wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum Zanzibar  kwa tiketi ya CUF, Amina Abdallah Amour amekihama chama chake cha CUF na kujiunga rasmi na chama cha AcCT Wazalendo  mjini Zanzibar ambapo tayari amepewa kadi ya uanachama wa ACT leo hii

Post a Comment

0 Comments