Picha za Wagombea Urais zikiwa katika bao la Tume ya Uchaguzi Zanzibar kutowa nafasi kwa mwenye pingamizi kupinga mgombea wa Urais wa Zanzibar. Litakuwa limewekwa jana jioni kwa muda wa masaa 24 kuazia jana.
WAKALA WA VIPIMO WABAINI UDANGANYIFU WA MIZANI MABUCHANI TEMEKE NA KIGAMBONI
-
Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Temeke umebaini vitendo vya udanganyifu
katika baadhi ya mabucha yanayouza nyama, baada ya kufanya operesheni
maalum ya...
4 hours ago
0 Comments