Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya Ndani na Nje wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar kwa sasa tayari majimbo manne tayari yameshatangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.
MIAKA 30 YA OCEAN ROAD ILIVYOFUFUA MATUMAINI YA KUISHI KWA MAMILIONI YA WATU
-
NI miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Taasisi ya Saratani nchini Tanzania (Ocean
Road). Kuanzishwa kwake kumeleta matumaini ya kuendelea kuishi kwa
mamilioni ...
1 hour ago
1 Comments
Hizi picha watu wako bwawani ni za Muda mrefu mbona hamtupi update nini kinaendelea
ReplyDelete