Vijana wa ZAYEDESA wakifanya usafi katika mazingira ya Afisi yao Mazizini Zanzibar kuadhimisha Miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika kuitikia Wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kusherehekea kwa kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya makaazi.
Usafi ukiendelea katika mazingira ya Afisi yao
Zoezi laUsafi likiendelea kwa Vijana wa ZAYEDESA katika mazingira ya Afisi yao.
0 Comments