6/recent/ticker-posts

Mjengwablog Kwenye Mtandao Wa Mabloga 18 Afrika Uliozinduliwa Johannesburg...

Uzinduzi wa Umoja wa Mabloggers Johannesburg, mtandao wa mabloga 18 wa Sub-Saharan Africa; ‪#‎AfricaBlogging‬ . Ni mtandao wa mabloga wa kimataifa utakaohusika zaidi na masuala ya kukuza demokrasia na uwajibikaji kupitia kazi za kublogi. Nimebahatika kuwa mmoja wa mabloga hao nikiwa na pia mjumbe wangu Chambi Chachage, tukiwakilisha Tanzania. Ukiwa na muda soma makala yangu ya kwanza kwenye mtandao huo;http://www.africablogging.org/time-for-girls-football/

Post a Comment

0 Comments