TPSC YAWAUNGANISHA WATAALAMU KUJADILI MATUMIZI YA AKILI MNEMBA KATIKA SEKTA
YA UMMA
-
Na Mwandishi Wetu — Dar es Salaam, 12 Februari 2026
Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kimeongoza mdahalo wa kitaalamu
uliolenga kujadili matumizi...
2 hours ago
4 Comments
Sasa hawa watalii wameshuka bandari ya znz au bara, naona hiyo ngoma na hizo souvenir zilizowapokea sio za kizanzibar kabisaaa
ReplyDeleteHii tabia ya kuweka wanawake kucheza viuno sio jambo zuri zanzibar ni nchi ya kiislam hizi mila zimetoka wapi
ReplyDeleteINNA LILAAH WA INNA ILIYHU RAAJIUUN hii ni aibu kuwapeleka akina dada zetu na mama zetu kukata viuno
ReplyDeletembele ya wanaume.Tumuogopeni Allah na adhabu zake kwa kufanya mambo ambayo ameyaharamisha au kuyakataza
Hii meli imefunga nanga znz au bara, hii ngoma na hizo souvenir hazihusu kabisaa na Zanzibar
ReplyDelete