6/recent/ticker-posts

Meli ya Kitalii ya Regent Seven Seas Voyager Yafunga Gati Bandari ya Malindi Ikiwa na Watalii 700 na Wafanyakazi 54.





 













Post a Comment

4 Comments

  1. Sasa hawa watalii wameshuka bandari ya znz au bara, naona hiyo ngoma na hizo souvenir zilizowapokea sio za kizanzibar kabisaaa

    ReplyDelete
  2. Hii tabia ya kuweka wanawake kucheza viuno sio jambo zuri zanzibar ni nchi ya kiislam hizi mila zimetoka wapi

    ReplyDelete
  3. INNA LILAAH WA INNA ILIYHU RAAJIUUN hii ni aibu kuwapeleka akina dada zetu na mama zetu kukata viuno
    mbele ya wanaume.Tumuogopeni Allah na adhabu zake kwa kufanya mambo ambayo ameyaharamisha au kuyakataza

    ReplyDelete
  4. Hii meli imefunga nanga znz au bara, hii ngoma na hizo souvenir hazihusu kabisaa na Zanzibar

    ReplyDelete