6/recent/ticker-posts

Rais Wa Zanzibar Dk Shein Ashiriki Shughuli za Usafi Kuadhimisha Siku ya Uhuru.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib Abrahman Khatib wakati alipowasilikati eneo la Malindi Mjini Zanzibar katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuruwa Tanzania lililoshirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizoa taka katika  zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru, eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini (kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizoa taka katika  zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru eneo Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini (kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizoa taka katika  zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini (kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ walishiriki katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  akimimina taka katika kontena  baada ya kufanya usafi wa madhingira leo wakati wa  zoezi hilo lililofanyika nchi nzima  katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru ikiwemo eneo la Malindi Mjini Unguja,ambapo viongozi mbali mbali walijumuika katika kufanikisha kazi hiyo
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ walishiriki katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchin
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  akitoa nasaha zake baada ya kumalizika kwa zoezi la kufanya usafi  wa madhingira leo wakati wa  zoezi hilo lililofanyika nchi nzima  katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru ikiwemo eneo la Malindi Mjini Unguja,ambapo viongozi mbali mbali walijumuika katika kufanikisha kazi hiyo,(kushoto)Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib Abrahman Khatib, [Picha na Ikulu.] 

Post a Comment

5 Comments

  1. Uhuru upi wa TANZANIA au wa Tanganyika ?

    ReplyDelete
  2. Umeandika kuadhimisha Muungano wakati sherehe za Muungano bado???

    ReplyDelete
  3. Tuseme muandishi hujuwi au ndio ukereketwa haya ni maadhimisho ya miaka 54 ya UHURU WA TANGANYIKA na sio za MUUNGANO

    ReplyDelete
  4. Na sherehe za mapinduzi bora ziwe cancel pia , pesa zitumike kwa kununua dawa au madeksi ya skuli, na usafi ufanyike tena , mwaka mara moja hautoshi

    ReplyDelete
  5. Mmmh watu wengine kujia hawajui lkn hata kufikiria pia hawawez.. 54 ya Jamjuri ya Muungano wa Tanzania..? Huu ni uhuru wa Tanganyika jamni sio miaka 54 ya Muungano..!

    ReplyDelete