Waziri wa nchi Afisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Mhe Haji Omar Kheri (mwenye kanzu) alifanya ziara ya kushtukiza katika soko la wauza mitumba Saateni ili kuwasikiliza wafanya biashara na na kutataua baadhi ya kero zilizojitokeza. Waziri aliambatana na Mwakilishi wa Jimbo la Jang'ombe, Abdallah Maulid Diwani (CCM) aliyevaa koti na Mkurgenzi wa Baraza ka Manispaa, Aboud Hassan Serege kushoto
Waziri wa Kilimo, Amefanya Mazungumzo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Mipango na Uwekezaji
-
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Daniel Godfrey Chongolo (Mb) amefanya mazungumzo na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander
Mk...
7 hours ago

0 Comments