Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo akikabidhiwa funguo za magari 6 kwa ajili ya Wizara ya Afya Zanzibar, Gari 4 za Kubebea Wagonjwa na 2 kwa Ajili ya Uratibu wa Vifaa Tiba kwa Wizara ya Afya, akikabidhi magari haro Kaimu Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Idadi ya Watu Ulimwenguni (UNFPA) Dr. Hashima Begum. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Zanzibar.
SOKO LA SAMAKI KATORO LAKOSA MIONDOMBINU YA MAJI TAKA
-
Wafanyabiashara wa soko la CCM katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro
halmashauri ya wilaya ya Geita wamelalamikia uhaba miundombinu ya
kutiririshia maji ...
1 hour ago
0 Comments