Kwa sasa, juhudi za Rais Dkt. Magufuli kufufua huduma bora na za uhakika katika Mashirika na Makampuni ya Umma zinazidi kuleta *Matokeo chanya+*
Kampuni Simu ya TANZANIA -TTCL ndiyo kampuni pekee inaongoza kwa sasa kwa kutoa huduma za intanet bora na za uhakika.
Rais wangu... *mzalendo na mchapakazi..*
Nchi yangu...
*Matokeo chanyA+*
BURIANI JENISTA MHAGAMA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro na
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) John Mongella, wakitoa heshima za mwisho
kuaga m...
19 hours ago

0 Comments