Wapenzi wa Timu ya Simba Zanzibar Tawi la Amaan Zanzibar wakiwa katika tawi lao Amaan wakifuatilia mchezo wa kirafi kusherehekea Simba Day na Tumu kutoka Nchini Rwanda mchezo uliofanyika katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam ikicheza na Timu ya Rayon Sports katika mchezo huo timu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 1--0.
UKARABATI NA UJENZI WA SOKO LA KARIAKOO WAFIKIA ASILIMIA 99, TAYARI KWA
KUFUNGULIWA.
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameupongeza uongozi wa Shirika la
Maso...
1 hour ago



0 Comments