Viongozi wa Dini Zanzibar wakifuatilia michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wakichangia Mswada wa Mahakama ya Kadhi Zanzibar uliosomwa kwa mara ya pili na kuchangiwa kuwa Sheria, wa kwanza Kadhi Dhamana wa Mahakama ya Kadhi Mwanakwerekwe Unguja Sheikh Othman Ame , Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utawala Bora Simba Kubingwa.
HABARI PICHA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI - IDARA YA SUKI
-
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Idara ya Mambo ya Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid,leo tarehe 28
Januari, 2026...
38 minutes ago
0 Comments