Watalii wanaofika kutembelea Zanzibar hupata fursa za kutembelea katika maeneo mbalimbali ya historia ya Zanzibar katika maeneo mbalimbali ya Visiwa hivi kama walivyokutwa Watalii hawa wakiwa katika maeneo ya mji mkongwe wa Unguja katika mitaa ya shangani wakipiga picha kwa ajili ya kumbukumbu jengo la Marcury shangani.
MBUNGE MNZAVA AWAKABIDHI WAZEE 300 BIMA ZA AFYA KUPITIA MAKUYUNI FESTIVAL
-
*MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timotheo Mnzava, ameendelea
kutekeleza mikakati ya kuboresha huduma za afya kwa wazee kwa kugawa Bima
za Af...
8 hours ago
0 Comments