Kwa niaba ya uongozi wa Zanzibar Press Club na wanachama wake wote tumepokea kwa mshtuko taarifa za ghafla za kifo cha muandishi mwenzetu Maridadi Amani, tunatowa Pole kwa Familia yake kwa kuondokewa na Pole pia kwa MKURUGENZI WA ZBC na wafanyakazi wote WA ZBC pamoja na waandishi WA Habari WA Zanzibar. Tunamuombea Nd.Maridadi Allah ampe safari ya wepesi kaburi lake liwe miongoni mwa bustani za Peponi na Allah amjaalie Makaazi mema kwa kutukutanisha pamoja katika Pepo ya Firdaus na Mtume wetu Muhammad (S.A.W) na kama ilivyo ada tunasema INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN BY CP-ZPC ABDALLA. A.MFAUME
UKAGUZI WA MABASI YA ABIRIA WAFANYIKA KUDHIBITI AJALI
-
Na Pamela Mollel Arusha
Jeshi la Polisi Nchini kupitia kikosi cha Usalama barabarani limefanya
ukaguzi maalumu wa mabasi ya abiria kwa ajili ya kudhibit...
3 hours ago

0 Comments