Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akiwa na watendaji wakuu wa wizara hiyo wakizungumza na ujumbe kutoka World Bank Bi Safaa El Tayeb El-Kagali (wa kwanza kulia) na Mr.Kaboko Nkahiga (wa pili kulia) ofisini kwake Mazizini ujumbe ambao umekuja kuangalia maendeleo ya mradi wa ZISP juu ya ujenzi wa vituo vya maabara na utoaji Mafunzo kwa Walimu.
WADAIWA KODI YA ARDHI KIKAAONGONI
-
Waziri Akwilapo Ataka Kukamilisha malipo ifikapo Desemba 31, 2025
Aagiza Vituo vya Makusanyo ya Kodi kutoa huduma bora
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ...
5 hours ago


0 Comments