Mchezaji wa Timu ya Kipanga na Jangombe Boys wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 0-0.
UWT Wilaya ya Ilala Yaadhimisha Miaka 49 ya CCM kwa Kutoa Msaada kwa Watoto
Yatima
-
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Ilala, chini ya Mwenyekiti wake
Ndg. Neema Kiusa, imeadhimisha miaka 49 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi
(CCM...
14 minutes ago
0 Comments