Mhe.Hussein Ali Hassan Mwinyi akipongezwa na Mwakilishi wa Jimbo lake la Kwahani Mhe.Ali Salum, baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa kuwania kugombea Urais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2020.
NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 105, SHULE, HOSPITALI MANYARA.
-
Benki ya NMB imekabidhi vifaa mbalimbali katika shule za Msingi na
Sekondari katika Mkoa wa Manyara kwa ajili ya kuboresha mazingira ya
ujifunzaji wa wanaf...
6 hours ago
0 Comments