Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),
Mhe. Selemani Jafo (watatu kushoto) pamoja na viongozi mbalimbali akiongoza matembezi ya hiyari kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani jijini
Dodoma leo Mei 29, 2021 ambapo alimuwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip IsdorMpango.
WIZARA YA AFYA YASIKITISHWA NA WANAOTAPELI KWA JINA LA MCHENGERWA
-
WIZARA ya Afya imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wenye nia ovu
ambao wamekuwa wakitumia jina la Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary
Mchengerwa ku...
3 hours ago
0 Comments