Meneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC Insurance) Kanda ya Zanzibar Ndg.Khamis Msami akimkabidhi zwadi ya Mchezaji Bora kutika Timu ya Simba Fabrice Ngoma kwa kuibuka mshindi wa mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 dhidi ya Timu ya Singida FG. mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibarn 3-1-2023.Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.
Ushindi Mkubwa Umewasili Kupitia Holiday Drops – Christmas Edition
-
MERIDIANBET imezindua toleo maalum la Holiday Drops – Christmas Edition
msimu huu wa sikukuu. Hiki ni kipindi ambacho kila mchezaji anapata fursa
ya kung...
1 day ago



0 Comments