Afisa wa Bima NIC Insurance Bi.Zakia Mbonja akimkabidhi zawadi fedha taslim shilindi Laki Tano mchezaji wa Timu ya KVZ Yussuf Othman baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar, dhidi ya Timu ya Yanga katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana.
Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta
wa Miamala
-
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni
inayoendelea ya Masta wa Miamala.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana ...
11 hours ago


0 Comments