Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande (kulia) Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dennis Londo na Mbunge wa Buchosa Erick Shingongo, Bungeni Jijini Dodoma Januari 28, 2025.
MKURUGENZI MKUU TTB ATOA NENO KWA WATALII AFRIKA MASHARIKI BAADA YA
KUZINDULIWA MELI YA MV NEW MWANZA
-
Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) Ephraim Mafuru amesema
kuzinduliwa kwa meli mpya kubwa na ya kisasa ya MV New Mwanza ku...
33 minutes ago
0 Comments