Mchezaji wa Timu ya Muembemakumbi City akimpita beki wa Timu ya Chipukizi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ mchezo uliyofanyika leo 20-10-2025 katika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya Muembemakumbi City imeshinda mchezo huo kwa Bao 2-0.
WATOA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA WAPONGEZA HATUA YA FCC KUWAFIKIA
-
*TUME ya Ushindani (FCC) kupitia Kanda ya Ziwa imeendelea kusogeza huduma
karibu na wananchi kwa kutoa elimu ya ulinzi wa mlaji kupitia Kliniki ya
Ml...
8 minutes ago







0 Comments