Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni
la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari,
Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026..jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Taaluma
na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya
Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya
kuwasili katika Jengo la Taaluma na Utawala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026..jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Jengo la Taaluma na Utawala la Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari mara baada ya uzinduzi
uliofanyika Buyu, Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026..jpeg)
Taswira ya Jengo la Taaluma na Utawala na
Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za
Bahari, Buyu Zanzibar mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari,
2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuzindua Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar tarehe 08 Januari, 2026.
.jpeg)

.jpg)
0 Comments