6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MWAKA LA WAMACHINGA NA MADEREVA WA PIKIPIKI NA BAJAJI

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salam kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la  Mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za Kubeba Abiria.
 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza  katika  Kongamano la Mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za Kubeba Abiria lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Julius Nyerere jijini Dar eÅ› salaam, Januari 8, 2026.  Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka  na kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Machinga Tanzania, Ernest Matondo Masanja.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemmba akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima  (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka katika Kongamano la Mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za Kubeba Abiria lililohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Julius Nyerere jijini Dar eÅ› salaam,
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemmba akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima  (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka katika Kongamano la Mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za Kubeba Abiria lililohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa  cha Julius Nyerere jijini Dar eÅ› salaam.
 Washiriki wa kongamano la mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipilki na Bajaji  za kubeba abiria wakimsikiliza  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba alipozungumza katika Kongamano hilo  kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salam kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la  Mwaka la Wamachinga na Madereva wa Pikipiki na Bajaji za Kubeba Abiria, Januari 8, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments