6/recent/ticker-posts

MRADI WA KUKUZA USAWA WA KIJINSIA WAZINDULIWA ZANZIBAR

-Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi,Eng,Zena Ahmed Said kulia akikunjuwa kita mbaa kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) hafla iliofanyika  katika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Abeda Rashid Abdalla akitoa Maelezo ya Mradi  wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania(PAMOJA)katika Uzinduzi wa Mradi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.

Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania(PAMOJA) hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.

Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania(PAMOJA) hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.

Muakilishi kutoka Benki ya Dunia Tanya Dilima akitoa salamu katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania(PAMOJA) hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani Zanzibar.
 
Post a Comment

0 Comments