. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. John Dramani Mahama mara baada ya kuwasili katika Ikulu
Ndogo ya Arusha tarehe 02 Machi, 2025. Rais wa Ghana Mhe. Mahama amewasili
Mkoani Arusha kwa ajili ya Ziara ya Kikazi, ambapo anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi
katika Ufunguzi wa Mwaka mpya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na
Watu, na Sherehe za kumbukizi ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Mahakama hiyo
mwaka 2006.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. John Dramani Mahama, katika Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe
02 Machi, 2025. Rais wa Ghana Mhe. Mahama amewasili Mkoani Arusha kwa ajili ya
Ziara ya Kikazi, ambapo anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mwaka
mpya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, na Sherehe za kumbukizi
ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Mahakama hiyo mwaka 2006.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa
Jamhuri ya Ghana Mhe. John Dramani Mahama
mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu Ndogo ya Arusha, tarehe 02 Machi,
2025.
.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
0 Comments