Habari za Punde

WAKATI WA KUPOKEA MAJIBU HUWA SHUGHULI PEVU


MDAU WANGU ILIBIDI NA MIMI NIPATE USHAURI NASAHA ILI NIPATE KUJUWA AFYA YANGU, KWA KUPIMA VVU KATIKA MOJA YA KAMPENI YA KUPAMBANA MAAMBUKIZI YA UKIMWI. HAPA NAPATA USHAURI VIPI NITACHUKUWA MAJIBU YANGU KAMA NNNNN......., LAKINI MAMBO SAFI NAKUSHAURI NA WEWE UENDE UKAPIME UPATE KUPANGA MAMBO YAKO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.