6/recent/ticker-posts

KAAZI KWELI


Wananchi wapita njia ilibidi wafanye kazi ya ziada ya kumtuliza kijana mwenye ulemavu jina lake halikupatikana akirusha mawe baada ya vijana wanaofanya biashara ya mchangani kumtania na kukasirika na kuwarushia mawe wapita njia lakini hakuna mtu aliyejeruhiwa katika tukio hilo.

Post a Comment

0 Comments