Habari za Punde

MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR'AAN WANAWAKE KATIKA PICHA

MWANAFUNZI Husna Khamis mwenye umri wa miaka 16 akisoma moja ya aya katika mashindano ya kuhifadhi kuran yaliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Heile- Sellesie
MAJAJI wakifuatilia wanafunzi wanaoshindana katika mashindano ya kuhifadhi kuraani yaliowashirikisha wanafunzi wa madrasa mbalimbali za Zanzibar.
WANAFUNZI wanaoshiriki mashindano ya kuhifadhi kuran wakimsikiliza mmoja wa mwanafunzi aliyehifadhi juzuu 30, Husna Khamis wa Zanzibar

WAUMINI wa Dini ya kiislamu wakifuatilia mashindano ya Kuran yaliowashirikisha Wanafunzi wa Kike na kuandaliwa na Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar, yaliofanyika Skuli ya Sekondari ya Haile- Sellesie



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.