ALIYEKUWA mgombea Urais kupitia Chama cha CUF Seif Sharif Hamad akitowa shukrani zake baada ya kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi wa Rais wa Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya bwawani. na kukubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar
RAIS MTEULE wa Zanzibar Dk. Shein akipongezwa na aliyekuewa Mgombea wa Urais wa CUF Maalim Seif Sharif baada ya kutowa shukran kwa wananchi na tume ya uchaguzi kwa kusimamia uchaguzi uliokuwa huru
RAIS Mteule wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein akitowa shukrani kwaWananchi wa Zanzibar kwa kumteuwa kuwa Rais wao baada ya kutangazwa matokeo katika Ukumbi wa Salama Bwawani
RAIS Mteule wa Zanzibar Dk. Shein akitowa salamu kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar baada ya kutoa shukrani zake
No comments:
Post a Comment